Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,283
- 33,881
JK,..subirini wakati wa uchaguzi muone atakachowafanya.
..sijui kwanini mnawaamini CCM mpaka leo pamoja na yote waliyowatenda.
..Rest in Peace Aboubakar Khamis Bakari.
Vipi na wale wahanga wa operesheni tokomeza iliyokafanyika na ostaadh jakaya mrisho kikwete nao umewasahau au kisa sio waislamu? Au kisa yalifanyika na muislamu huku wahanga wakiwa sio waislamu? Wewe jamaa ni mtu hatari mno kwa usalama wa nchiJK,
Uchaguzi ujao ni mtihani mkubwa sana.
Mtihani mkubwa kwa nani wakati wagombea wote ni waislamu?JK,
Uchaguzi ujao ni mtihani mkubwa sana.
Mnachihangu,Mtihani mkubwa kwa nani wakati wagombea wote ni waislamu?
Mnachihangu,Vipi na wale wahanga wa operesheni tokomeza iliyokafanyika na ostaadh jakaya mrisho kikwete nao umewasahau au kisa sio waislamu? Au kisa yalifanyika na muislamu huku wahanga wakiwa sio waislamu? Wewe jamaa ni mtu hatari mno kwa usalama wa nchi
Adabu ipi unaihitaji umesahau kuwa profesa Lipumba mwaka 2010 alimpigania Kikwete kwasababu ya padre Slaa alikuwa anamshambulia sana ? Umesahau ni Lipumba aliekihimiza waislamu wamuunge mkono Kikwete kwakuwa ni muislamu?Mnachihangu,
Mimi napenda mijadala yenye adabu na heshima ili jamii inufaike kutokana na hoja kinzani.
Ikiwa mjadala una kejeli mimi hunitoa hamu ya kushiriki.
Mathalan ''Ostaadh Mrisho Kikwete,'' kejeli hii ina faida gani katika hoja yako?
Ndugu wanakuwaje na changamoto?Mnachihangu,
Ikiwa nchi ni ya Waislam watupu ina maana hakuna changamoto?
msamehe bure ndugu yangu hawa ndiyo vijana wanaoitwa taifa la keshoMnachihangu,
Mimi napenda mijadala yenye adabu na heshima ili jamii inufaike kutokana na hoja kinzani.
Ikiwa mjadala una kejeli mimi hunitoa hamu ya kushiriki.
Mathalan ''Ostaadh Mrisho Kikwete,'' kejeli hii ina faida gani katika hoja yako?
Mnachi...Adabu ipi unaihitaji umesahau kuwa profesa lipumba mwaka 2010 alimpigania kikwete kwasababu ya padre slaa alikuwa anamshambulia sana ? Umesahau ni lipumba aliekihimiza waislamu wamuunge mkono kikwete kwakuwa ni muislamu?
Kiumri mimi ni baba yakomsamehe bure ndugu yangu hawa ndiyo vijana wanaoitwa taifa la kesho
Kumkejeli kivipi kwani kikwete sio muislamu? Tunaweka kumbukumbu sawa yasije kutokea yale ya majemedari wa vita vya majimajiMnachi...
Hayo unayosema hayana shida.
Kukosa uungwana ni kule kumtaja Kikwete kwa kumkejeli.