Mtetezi halisi wa Zanzibar alikua Jumbe, hili lipenda vin'gola siyo la kuamini kabisa halichelewi kusaliti pale linapoona madaraka yatachukuliwa na mtu mwingne.
Chuchu FM kwa kupitia Masafa ya FM hata Dar inafika ila si kwaubora sanaaaa ila unaweza ukatumia stream yao ukawapata popote pale ulipo katika dunia hii.
http://myradiostream.com/v1/mobile/chuchu
CCM hawajaaminiwa na wengi wa Wazanzibari ila ni uchakachuaji wao tu katika kila mambo kutokana na hofu yao ya kwamba wanajua siku wakianguka watapelekwa The Hague kuungana na Uhuru Kenyatta!
Uchaguzi wa kura ya maoni ya kuhusu serikali ya umoja wa kitaifa waliosema NDIYO walikua 66%
Uchaguzi Mkuu 2010 Kura za Lipumba kwa upande wa Zanzibar pekee ni 67%
Utoaji wa maoni kuhusu katiba Mpya kwa mujibu wa takwimu za kitaalamu 66% Walitaka Muungano wa Mkataba (Takwimu za Warioba ni 61%)
Cha kushangaza pamoja na takwimu zote hizo lakini Tuliambiwa ushindi wa CUF uchaguzi wa 2010 ulikua ni 49.9%!!!!!
Lambda tuwaulize ZEC iweje Lipumba apate 67% na Maalim apate 49% wakati Mzanzibari akienda kupiga kura jambo la mwanzo anamuangalia Maalim Seif na mengine yanafaata baadae. Kama CCM mupo wengi Warioba. ameshasema TUTAKUTANA MTAANI
Sasa wewe umewahi ili buku 9'zisikosekane ? Maana kuanzisha thread ni 9 sio 7
wakuu mliopo zenji mtupe updates za uhakika kutoka viunga vya kibanda maiti.... Mtupie mapicha na muwaeleze ushe..nzi wa majizi sisiemu waliofanya katika kutafuta akidi ya zanzibar.. Tayari leo kashirila anakili kuwa yule muheshimwa wa nccr wa zanzibar aliwekwa kimakosa, waelezeni watu uovu woote walioufanya sisiemu kwa kushifrikiana na mnafiki hamadi rashidi..., kumbusheni watu kujiandikisha katika daftari la wapiga kura , na kujitokeza katika kugombea na kupiga na kulinda kura za serikali za mitaaa... Wapeni watu ujasiri.. Kuwa bila kulinda kura hakuna kitu.,,, nape kaanza kujitapa kuwa. Kama ukawa wameshindwa kuwazuai katika bunge la bmk basi mtaani watashinda tu.... Iwe kwa wizi au hilaaa
naona una inda sababu NIMEKUWAHI?Sasa wewe umewahi ili buku 9'zisikosekane ? Maana kuanzisha thread ni 9 sio 7
HADI HAPA NIPO TIgo PESA NAISUBIRIA
Maalim Seif tumemuweka mle ndani kimkakati zaidi .Asipo jiuzulu nitamdharau saaana
Tutapambana vikali kwa mtu au kikundi chochote kitakachohatarisha usalama ,Amani ' umoja Na mshikamano wa taifa letu.
Kwa mkataba hapana, ukawa msibadilikebadilike kama kinyonga mtawachanganya wana wa nchi. Bakini na msimamo wenu kama mwanzo wa kutetea rasimu ya jaji warioba.