Wazanzibar sio watendaji wazuri
Umetumiakigezo gani to make this conclusion?
Wazanzibar sio watendaji wazuri
Kama vigezo wanavyo na ukizingatia hizo ni wizara za muungano, mi sioni tatizo. Nilijua kuwa vile manaibu wote Wa wizara ya elimu na fedha wametoka bara, mawaziri lazima watoke visiwani