Wazanzibar UK wakerwa na vitendo vya kukamatwa kwa Masheikh Z'bar

Status
Not open for further replies.
Wapi uislamu unaruhusu kumwaga damu ya mtu?
 
Ni kazi kubwa, kutenganisha mambo ya dini, na ugaidi kama tujuavyo; kwa kurejea chanzo na historia ya ugaidi duniani !
 
We we unasema wapi imeandikwa kumuuwa a site muislamu ngoja nikupe Maya no Surat taw a .9:123 nanukuu.piganeni name wale makafiri walio karibu yenu.
 
Hakuna binadamu mwenye ardhi yote ni ya Mungu,wanadamu ndio tunawekeana mipaka,ajabu twawekeana mipaka,lakini tutakufa na kila kitu tutakiacha duniani.

Unazikumbuka slogans hizi: tuachiwe Zanzibar yet tupumue- uamsho. Western forces should stop occupying Islamic lands alqaeda, kumbe waislam na wazanzibar wana ardhi yao ambayo hawataki watu wengine wakanyage.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…