Wazanzibar UK wakerwa na vitendo vya kukamatwa kwa Masheikh Z'bar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibar UK wakerwa na vitendo vya kukamatwa kwa Masheikh Z'bar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by abdulahsaf, Oct 29, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wazanzibari Slough UK wakusanyika Iydul Adh-ha

  Nae Ustadh Omar Amiri wa Jumuiya ya Wazanzibari waishio Slough – Uk. baada ya swala ya iyd ul adh'ha alitoa khutbah ambayo ilizungumzia umoja na mshikamano kwa waislam, ambayo kwa kiasi kikubwa ilisisitiza kwa waislam wote duniani kutokubali kudhalilishwa na kudhulumiwa haki zao.

  Kadhalika Ustadh Omar aligusia vipengele muhimu sana katika historia ya dini yetu pale ambapo Mtume wetu Muhammad (saw) alivitaja katika hijjatul wada'a pale aliposema kua " msidhulumiane, msizidishiane bei, msitukanane, msidharauliane, ni haramu kwa kila Muislam kumwaga damu ya Muislam mwenzake, kumvunjia hadhi na heshima yake, ikiwa anayahusisha haya na yale yanayofanyika Zanzibar, khususan kwa kile alichokiita ufedhuli wa wazi kwa masheikh na wanazuoni wa kizanzibari ( Sheikh Farid, Sheikh Mselem, Sheikh Azzan, Sheikh Mussa Juma na wenziwao.

  kadhalika Ustadh Omar , alisema hichi wanachofanyiwa hawa Masheikh wa Zanzibar, ni kuendeleza sera za makafiri duniani na wasioupendelea kheri Uislam kwa vile haya alifanyiwa Sheikh Kishk wa Misr, Sheikh Aboud Rogo wa Mombasa Kenya na leo tunayaona haya kwa masheikh wetu wa zanzibar suala mbalo ni haramu kulivumilia.

  Aidha amewataka waisilamu kuifahamu hadithi ya Bwana Mtume (saw) pale aliposema mmoja wenu akiuona uovu basi auondoe kwa mkono wake, na ikiwa hawezi kuuondoa kwa mkono wake basi ausemee (kwa mdomo wake ) na ikiwa hawezi kufanya hivyo basi achukie kwa moyo wake , lakini hiyo ni imani ya daraja la chini.

  Alisema basi jee hawa viongozi wa Zanzibar ndio hawawezi hata kusemea au kuchukia kwa nafsi uovu huu na dhulma hizi juu ya Zanzibar na yale wanayofanyiwa wanazuoni wa Zanzibar ambao wanarithi kazi za Mitume kama alivyosema ,tume Muhammad (saw) ?

  Pia masheikh wote wanaoshuhudia haya kwa Zanzibar hawaoni kama huu ni unafiq wa wazi ambao utawapeleka motoni siku ya qiyama. Kama ule unafiki wa wazi unaofanywa na Soraga ambae yeye sio Sheikh bali ni mtu ambae analinda tonge.

  Imewekwa na MAPARA at 10:19 AM
   
 2. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huku akiwa anaishi kwa amani tele kwenye nchi ya makafiri.
   
 3. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Atoke huko aliko na aje kuyazungumza hayo kwa vitendo huku zanzibar. Hajui ni shida gani wazopata wenzao walioko huku
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kwa maana anacho kisema huyu bwana ni kwamba masheikhe Zanzibar wanatakiwa kuwa juu ya sheria? Ina maana mtu Zanzibar akiwa kiongozi wa dini ya Kiislamu basi asiguswe wala kushikwa hata anapo fanya makosa?
   
 5. Haliali

  Haliali JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nae Ustadh Omar Amiri wa Jumuiya ya Wazanzibari waishio Slough – Uk. baada ya swala ya iyd ul adh'ha alitoa khutbah ambayo ilizungumzia umoja na mshikamano kwa waislam, ambayo kwa kiasi kikubwa ilisisitiza kwa waislam wote duniani kutokubali kudhalilishwa na kudhulumiwa haki zao.

  Naamini wewe ni mtu ulie elimika vyakutosha. naomba utueleze kwa ufasaha huko kudhalilishwa na kudhulumiwa haki zao.ni kupi? au umataka mfanyiwe nini ili muone kuwa hamdhalilishwi? maana hii ndiyo kama formula kila siku na kila saa .
   
 6. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Naye mchochezi tu.
   
 7. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Naye akamatwe na anyolewe ndevu kwa uchochezi huu. Kwanini analeta uchochezi kwa kutumia vibaya hadithi nzuri zenye mafundisho mema ya Mtume (SAW).?
   
 8. f

  findu fiki JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  N ukizingatia yuko kwenye nchi ya makafiri
   
 9. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mbona anazumngumzia makafir wakari anapata benefit toka kwa hao hao makafir! ahame basi ktk ardhi ya makafir! mimi nilisha sema jamani hebu tuendeleeni na dini na imani zetu ndugu zangu wa waislamu wenye imani na upendo na isiwe uchochoze usio na maana kama huyu ndugu yetu wa Slough probably akiishi ktk council benefits za makafir.
   
 10. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nyie watu mnaniachaga hoi sana. mko UK kwa makafiri mlikohalalishiwa kuona jinsia moja halafu unatetea wahalifu TZD. Huko UK hamjadhulumiwa au huko mfumo kristo hauwanyimi haki???? Punguzeni unafiki japo kwa sekunde chache tu.
   
 11. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,877
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Anafanya nn huko kwenye nchi ya makafiri? Mnafiq mkubwa huyo
   
 12. Niambieni

  Niambieni JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 599
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Wapendwa watu wa Mungu tunahitaji kuwa na maombi kwa Nchi yetu kuiweka chini ya mikono ya Mungu. Tufunge na kuomba kwa yote kabisa kwa Mapenzi ya Mungu.

  Hii ni dhahiri ya kuwa shetani wakati wote yupo kazini. Je inakuwaje shetani anataka kuvunja amani tuliyopewa na Mungu wetu anayetupenda?.

  Tuwaombee pia wenzetu wote wamfahamu vizuri Mungu wetu kwa kusaidiwa na Roho Mtakatifu.

  Amen
   
 13. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni wajinga tu ambao huitwa waislam ndo wanaweza kufundishwa na manyang'au wa aina hii...Mkristo hata awe mwendawazimu vipi huwezi kumdanganya,maana hayo mafundisho yanamfaa mbwa tu au fisi..asiyetumia akili
   
 14. a

  ablood8 Senior Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Kama vipi achome makanisa ya UK
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  si ndio hapo alafu utakuta huyo sheikh hana makaratasi ya kuishi uk amejilipua ana makaratasi ya ukimbizi na anavuta hela ya serikali kila ijumaa alafu anawatukana watu hao hao wanaolisha familia yake....hawa watu washenzi sana sijawahi ona
   
 16. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1::biggrin1:
   
 17. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwani Zanzibar si nchi ya makafiri? Ukafiri ni nini mwanangu Sweke34? Kinachoendelea baina ya Uamsho na SMZ ni ukafiri mtupu. Maana walikula njama kujitoa kwenye muungano bila kufuata sheria sasa yanawarudi wanaanza kurudiana wao kwa wao. Kinachopaswa kuongelewa hapa si waislam bali wazanz au watanzania kama imezidi. Nje ya Tanzania hakuna amani ZNZ. Akina Seif waivuruga Znz kama Comoro.
   
 18. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kwa dini yenu inasema ni haramu kumwaga damu ya muislam mwenzako lakini ni halali kumwaga damu ya mtu ambae sio muislam...daah dini yenu kweli ndio maana watu wanasema ni dini ya majini...dini ya kikristo inasema huruhusiwi kumwaga damu ya binadamu yoyote yule haijalishi ni dini gani maana binadamu wote ni wana wa mungu wameumbwa na mungu mmoja...alafu mnaita wakristo makafiri...nyie waislam ni wauaji na wachawi wakubwa
   
 19. Ishmael

  Ishmael JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2014
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Rudini kwenu Zanzibar au nendene Uarabuni. Kwanini mnapenda sana nchi zetu Wakristo? Sijaona mkikimbilia Urabuni, Porkistan, Iran Iraq, etc
   
 20. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2014
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  Acha kuwa na jazba toa takwimu halisi. Ungesema kuwa uislamu ni moja kati ya dini zinazopata waumini wengi [pengine ningekubali] kwani nchi hii ilifungua milango raia wa nchi nyingi ambazo zilikuwa makoloni yao [hasa india na pakistani] kuhamia huko na jamaa hao kwa kuzaliana ndiyo wenyewe na watoto wao hivi sasa wana wajukuu na inasemekana pia vijana wanaojiunga isis wengi wao ni vizazi hivyo.

  Ukweli mwingine ni kwamba ulaya yote hivi sasa wengi huenda kanisani wakati wa pasaka na krismass hivyo kuwacha makanisa mengi kuwa matupu kwa muda mrefu
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...