MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Umoja wa wazalishaji wa vinyawaji baridi chini wameisaidia serikali vifaa vya hospitali vyenye thamani ya shilingi bilion 10.
Wazalishaji hao ni kutoka Makampuni ya Coca-Cola,Nyanza botelers, Bakhressa na mengineyo.
Akiwakilisha serikali waziri mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa ameushukuru umoja na kuwaomba waendelee na moyo huo na serikali iko pamoja nao.
My take!
Hawa si ndio bwana mmoja aliwaita hawana uwezo ni wana vihela vya juice tu? Si ndio waliitwa mawakala hawa?
Kuna baadhi ya mawaziri wanatia kichefu chefu na wanaweza kumhujumu Mh Magufuli wasipoangaliwa kwa umakini, hii haikua kauli bali ni tusi.