Wayahudi Waujia juu utawala wa Trump

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,292
Katika Siku ya kumbukumbu ya mauaji ya Wayahudi milioni sita wiki iliyopita yailiyofanywa na Utawala wa KINAZI miaka 60 iliyopita, Serikali ya Donald Trump inalaumiwa na Wayahudi kwa Kutotaja ndani ya taarifa yao kuwa Wayahudi milioni Sita waliuawa. Ikulu ya Trump iliposhutumiwa kwa jambo hilo ikasema kupitia msemaji wake, kuwa Taarifa iliyotolewa ililenga kuwakumbuka na wahanga "wengine" wapatao milioni tano wa Vitendo vile vya KINAZI. Wayahudi wamelaani kitendo hicho cha kutowataja exclusively katika taarifa hiyo maana wanaona kama hiyo ni njia ya wapinga tukio hilo la mauaji ya Kimbari hutumia kukataa kama kweli tukio lilitokea. Leo hii Mtandao wa Israel wa Haaretz, umedokeza kwamba Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani hapo awali ilikuwa imeandaa Taarifa iliyokuwa ikitamka Madhara ya Wayahudi waliyoyapata, Lakini Ikulu ya Trump ikaodoa kabisa kauli hiyo.
______________________________________________________________________________________
The White House nixed a statement that the State Department had drafted to mark International Holocaust Remembrance Day that specifically mentioned Jewish victims and replaced it with the now controversial release that omitted Jews entirely, Politico reported on Thursday.

The statement, reportedly crafted by Boris Epshteyn, a special assistant to President Donald Trump, was a marked departure from past statements by U.S. presidents commemorating the Holocaust, which included a clear reference to the loss of six million Jewish lives and to the Nazi regime's unique focus on the Jews.

People familiar with the matter told Politico that the State Department's Office of the Special Envoy on Holocaust Issues wrote a statement that explicitly included and commemorated Jewish victims, echoing previous statements.

But according to the report, a White House official said the State Department had not been asked to draft its own document. According to the official, the White House had told the State Department not to issue its own statement because it would come after 7 P.M., adding that the White House had not seen the State Department's draft until it released its own.

The statement, in which Trump decried the "horror inflicted on innocent people by Nazi terror," was praised by Richard Spencer, the leading ideologue of the so-called alt-right. Spencer hailed the statement's omission, which he dubbed the "de-Judaification" of the Holocaust, as an important, perhaps revolutionary step. He dismissed Jewish responses to the statement as “kvetching,” using a Yiddish term for complaining.

Israel's ambassador to the United States slammed the statement in a tweet: "After the Holocaust took away so much from the Jews, we must not take the Holocaust itself away from the Jews."

Jonathan Greenblatt, the CEO of the Anti-Defamation League, called the statement "puzzling and troubling," adding that past administrations – both Democratic and Republican – specifically mentioned the Jewish aspect when commenting on the Holocaust.

In an attempt to explain the statement, the White House doubled down on its omission, saying that the reason for the unusual wording was that non-Jews were also among the victims of the

Holocaust. "Despite what the media reports, we are an incredibly inclusive group and we took into account all of those who suffered," Hope Hicks, a spokeswoman for the White House, told CNN.

Following the spokesman's statement, two leading U.S. right-wing Jewish groups, both of which strongly supported Trump during his campaign, denounced the statement. The Republican Jewish Coalition called the omission "unfortunate," while the president of the Zionist Organization of America expressed his "chagrin and deep pain."

Rabbi Marvin Hier, the founder and head of the Los Angeles-based Simon Wiesenthal Center who delivered a benediction at Trump's inauguration, called the statement a mistake. The Wiesenthal Center called for the White House statement to be "updated to specifically mention the 6 million Jewish victims of the Nazis."

SOURCE: White House 'blocked' Holocaust statement that explicitly mentioned Jews
 
Mkuu hii thread yako imekosa wachangiaji kabisa. Hebu niishtue kidogo labda itaonekana ...
 
Hao wayahudi wanataka watambuliwe kwani wao nani? Mbona wanyarwandwa waliuwawa zaidi ya milioni moja lakini hakuna anayewakumbuka zaidi ya wao mwenyewe. Wajiangalia hao utawala huu ni wa Trump na kwa asili Trump anatokea Ujerumani.watatia akili tu
 
Kuna uwezekano Trump ni White supremacist, maana hawa ma white Supremacists kwa miaka mingi sana wamewanyanyasa, na kuwabagua wayahud!!
 
Kuna uwezekano Trump ni White supremacist, maana hawa ma white Supremacists kwa miaka mingi sana wamewanyanyasa, na kuwabagua wayahud!!

Mkuu White Supremacist kivipi?
Mbona Donald Trump ana uhusiano wa karibu sana na Wayahudi?
Binti yake Ivanka Trump kaolewa na Myahudi Jared Kushner.
Labda mimi sijui maana ya White Supremacist.


 
This time everyone will face the music of Donald Trump
 
Mkuu White Supremacist kivipi?
Mbona Donald Trump ana uhusiano wa karibu sana na Wayahudi?
Binti yake Ivanka Trump kaolewa na Myahudi Jared Kushner.
Labda mimi sijui maana ya White Supremacist.


Maana ya white supremacist ni wale wazungu wanaoamini kwamba wazungu weupe ndio watu wa maana lakini waafrika,latino,jews nk ni watu wa chini.
Na katika baraza la mawaziri wa Trump wengi ni white supremacist.
 
Naona jana serikali ya Trump imetoa tamko la Kukemea ujenzi wa Settlements za Wayahudi katika ardhi za Wapalestina ( West bank).

Hii ni ajabu!!
 
Naona jana serikali ya Trump imetoa tamko la Kukemea ujenzi wa Settlements za Wayahudi katika ardhi za Wapalestina ( West bank).

Hii ni ajabu!!

Nadhani Bibi Netanyahu kichwa kitakuwa kinamzunguka sasa hivi, alimshabikia sana Trump wakati wa kampeni na akawa anaukandia vibaya sana utawala wa Obama! Sasa Trump anamuonyesha rangi yake halisi!
 
Maana ya white supremacist ni wale wazungu wanaoamini kwamba wazungu weupe ndio watu wa maana lakini waafrika,latino,jews nk ni watu wa chini.
Na katika baraza la mawaziri wa Trump wengi ni white supremacist.

Mkuu,
Swali langu ni dogo tu?
Raisi Trump kuwapinga Wayahudi ndiyo amekuwa White Supremacist?
 
Wayahudi wanafurahia Trump lakini hawajui kwamba Trump ana asili ya Ujerumani /mababu zake wote wana asili ya ulaya ambao tokea kizazi cha Hitler wanaamini kuwa wao ni pure superior white race.
Soon dhambi ya kibaguzi ya Trump anayowafanyia walatini,waislam na weusi itawafikia pia wayahudi.
Hizo ni dalili tu mengi yaja.
 
Back
Top Bottom