Mimi nazungumza na watu timamu c wazembe kama wewe.
"Eli, Eli, lama sabachthani?"
Allah, Allah, why have you forsaken me?
Jesus cry out, "My God, My God, why have you forsaken Me?"
Who is Yehova?
Fungua uzi jukwaa la siasa kisha takuja kuchangia huu uzi unahusu mayahudi kuihama Paris.Najua wewe ni MwanaCCM mzuri,naomba unipe ufafanuzi wa upatikanaji wa Mahakama ya Kadhi na kuachiliwa huru kwa Shekh Ponda maana waislamu wasio na Ushirika na Mafisadi hawawaelewi.Kama ni Mfumo Kristo tupatie jibu vilevile.Hizi ndizo Kero za Waislamu wa Tanzania kwa sasa.
Mungu wa Abraham ana nafsi ngapi?YEHOVA ni Mungu moja mwenye Nafsi tatu;,BABA,MWANA NA ROHO MTAKATIFU.UTATU MTAKATIFU,MUNGU MMOJA.YESU KRISTO ni nafsi ya Pili ya Mungu.
Nani kakwambia haya!!!!.Na kwa nini alete watu kutoka huko walikokuwa ili waje kuteseka!!!!!.Tafakari,Chukua hatua.Hayo malipo kwa wanaowatesa yatakuja lini!!!!!.Maana hata Majambazi nao wanatusumbua.
Mungu wa Abraham ana nafsi ngapi?
Mungu wa Adam na Eve ana nafsi ngapi?
Mungu wa Yesu Kristo ana nafsi ngapi?
Ooh kumbe wewe Mungu wako ni Yehova/YESU? Nilisahau kumbe kwako Musa na Mwingira ni sawa tu.
ndugu yangu Mungu wa Waislamu(Allah) kwa nini anataka Mahakama ya Kadhi igharimiwe n Kafiri!!!.Kwa nini ameshindwa kuwaokoa Wapalestina dhidi ya Kichapo kutoka Israel!!!.
Achana na Hadithi za Kale ambazo hazina ushahidi wa kutosha.Kama waisrael wangekuwa wabaya kiasi hicho wasingekubali MTUME JOSEPHAT MWINGIRA aingie nchini mwao mwaka 2013.Sioni mantiki ya Kumkataa Mtume Mohamad na Kumkubali Mtume Mwingira.
It doesn't matter who killed who, the matter is everyone to show a concern when a group of people kill others. Failing to do as we see nowdays hates will still be there.
Wewe punguani soma hii hapa chini.
Born1950 (age-6465)Pune, IndiaResidenceUnited States of AmericaCitizenshipUnited States of AmericaEducationM.S.-in Electrical Engineering-[1]Alma materUniversity of Cincinnati,-Delhi College of EngineeringVinod Dham-(Gurmukhi: ਵਿਨੋਦ ਧਾਮ😉 is an inventor, entrepreneur and-venture capitalist. He is popularly known as the-Father of thePentium-chip, for his contribution to the development of highly successful Pentium processors from Intel.[2][3][4]-He is a mentor, advisor and investor; and sits on the boards of many companies including promising startups funded through his India based fund Indo US Venture Partners,[5]-where he is the founding Managing Director.Vinod Dhams accomplishment as the Father of Pentium and as an Indian-American technology pioneer from Silicon Valley, is being celebrated at a first-ever exhibition on South Asians in the National Museum of Natural History at the storied Smithsonian in Washington DC, highlighting Indian-Americans who have helped shape America.
'Every single French Jew I know has left Paris': Editor of Britain's Jewish Chronicle claims people are fleeing terror-hit French capital
Read more: Editor of Britain's Jewish Chronicle claims people are fleeing Paris | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
Hiyo assembling to kijana uliza chip ilicotokaKwani hizo computer tunatumia bure si tunawapa pesa zetu, tunatumia computer nyingi tu za Wachina, Wajapani, Wakorea.
My belief system zinaniambia siku USA itakapo thubutu kuwabeba palestina wasioaminika dhidi ya Israel, ndio anguko rasmi LA USA. Na ndio world war 111, itaweza kuibuka ndani ya muda mfupi.japo during the fateful day USA watarudi kuisapoti Israeli.
Kama tunavyoona ufaransa na USA wanavyohenyeshwa na ugaidi wa waarabu kupitia Sera zao za kuhamasisha liberalism and multi-culturalism.
Kiasi kwamba utagundua wanajeshi na intelligensia zao zinafanya kazi nzuri lakini viongozi wao wa kisiasa wanatenda kinyume na uhalisia. Na ndio wanaofanya kazi ya ulinzi na usalama kuwa ngumu. Utaona kuwa wakati securities zina zuia ugaidi na mianya yake, huku wanasiasa wanapromote maltikalcha na liberalism kwa kuruhusu institutions zinazopika ugaidi kushamiri.
Katika majiji makubwa. na hao ndio wanaowa-let down polisi na inteligensia.
Ukweli ni kuwa ugomvi wa Israel na waarabu ni wakidini.waarabu wasingewachukia Jews kama sio sehemu ya DINI.
Ni uongo ulioundwa na wapalestina kusema Jerusalem ni mji wao mtakatifu lengo kuu ni kuishawishi UN ikubaliane na MADAI yao.
The Father of Intel Pentium is Gurumukhi Vinod Dham (Singh) not a Jew
Kumbe bado tu unaishi Geto...njoo geto nikueleweshe
Kumbe bado tu unaishi Geto...
Naona akili yako inakataa ukweli mlivyoaminishwa kuwa Israel siyo waoga sasa wanakimbia.
Meyer wa Jiji la Paris toka jana kasema Wasrael wote wafunge maduka yao kumekucha.
Mungu wa Yesu ana nafsi tatu? na Nafsi ya Pili ni Yesu Kristo?Mungu wa Abrahamu ana Nafsi tatu.Mungu wa Adam na Eva ana Nafsi tatu.Mungu wa Yesu Kristo ana Nafsi tatu na Nafsi ya Pili ni Yesu Kristo.
Nafsi moja ya Mungu inalalamika "Mungu wangu Mungu wangu kwa nini unaniacha solemba (unanitelekeza)?YEHOVA ni Mungu moja mwenye Nafsi tatu;,BABA,MWANA NA ROHO MTAKATIFU.UTATU MTAKATIFU,MUNGU MMOJA.YESU KRISTO ni nafsi ya Pili ya Mungu.