Wayahudi na Waislamu waungana Norway

Wayahudi na Waislamu waungana Norway

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,512
Reaction score
53,477
150222004230_muslims_norway_640x360_ap.jpg


Waislamu nchini Norway wakiweka mviringo wa kuwazunguka wayahudi ili kuonyesha amani kufuatia misururu ya mashambulizi inaowalenga raia hao

Zaidi ya watu 1000 wengi wao wakiwa waislamu wameunda mviringo na kulizunguka sinagogi nchini Norway kuonyesha umoja wao kufuatia mashambulizi kadha yaliyowalenga wayahudi barani Ulaya.

Wakati waumini wa kiyahudi walipokuwa wakitoka ndani ya sinagogi katika mji mkuu wa Norway Oslo kulikuwa na shangwe wakati vijana wa kiislamu walipowazingira kama ishara ya amani.

Warsha hiyo ilipangwa na vijana wa kiislamu na inafanyika wiki chache baada ya kijana mmoja mzaliwa wa Denmark mwenye asili ya Kipalestina kuwaua watu wawili kwe



Wayahudi na Waislamu waungana Norway - BBC Swahili
 
Vizuri sana!,

PEACE!,......be unto Earth!
 
Back
Top Bottom