Wawili wafia mgodini kwa kukosa hewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawili wafia mgodini kwa kukosa hewa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kingwipa1, Jan 21, 2010.

 1. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Habari nilizopata punde ni kwamba kuna watu wawili wamefia mgodini huko kwenye machimbo ya Merelani kwa kukosa hewa. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo tar 21/01/2010.
  Watu hao walikuwa wameenda kufanya kazi kwenye mgodi mmoja wa wachimbaji wadogo wadogo uliopo kwenye kitalu B.
  Maiti wamehifadhiwa wenye hospitali ya mkoa wa Arusha.

  Chanzo cha kukosa hewa hakijajulikana na mimi nafuatilia kwa watu wa karibu ili kujua chanzo cha mauti iliyowakuta ndugu zetu.

  Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi. Amina
   
 2. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Habari zaidi zinadai maafa hayo yametokea kwenye mgodi uliowahi kuuwa watu kama 20 kwa mafuriko. Nadhani tukiohilo lilitokea mwaka juzi. Watu walio karibu watupe habari zaidi.
   
 3. O

  Omumura JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umaskini wetu huo, ah, kazi ya Mungu haina makosa!!
   
Loading...