Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,227
- 4,651
Hili ni tatizo la afya ya akiliNimeambiwa hawa ni WAWEKEZAJI/WAJASILIAMALI wako kwa Ofisi wanapambana na Muhindi/Kanjibai, ila hii kazi nayo nzito sana, utsema wako Prepo wanajiandaa na pepa ππππππππ
View attachment 3539360
Kwanini wakati watu wapo kazini?ππHili ni tatizo la afya ya akili
Bongo bahati mbayaNimeambiwa hawa ni WAWEKEZAJI/WAJASILIAMALI wako kwa Ofisi wanapambana na Muhindi/Kanjibai, ila hii kazi nayo nzito sana, utsema wako Prepo wanajiandaa na pepa ππππππππ
View attachment 3539360
But no win win situationBoth team will score.
Watu wamekata tamaa ya maisha,wamebaki kutegemea miujiza tu,Betting ni janga la dunia. Na kwasababu zinaruhusiwa janga hili halitakwisha. Eti GBT wana tangazo 'BETTING SIO AJIRA NI MCHEZO WA BURUDANI'
Sasa umesanuka unafany nnAiseee! Nilichelewa kusanuka tu kuhusu hili janga la umasikini.
Nimehamia kwenye togwa angalau pesa yangu ipukutike kwa kuneemesha kiriba tumbo.Sasa umesanuka unafany nn