Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,539 Dec 14, 2013 #1 Mitaa ya Buguruni Mchina Akiuza Mahindi ya Kuchoma
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,761 Dec 14, 2013 #2 Kwani ni dhambi?? Kama wabongo wameshindwa kwa nini wao wasifanye??
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Dec 14, 2013 #3 Huku mtaani kwetu mchina anauza mkaa
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,853 Dec 14, 2013 #4 Hahaaaa sasa si akachomee nchini kwao
M Mutambuki Member Joined Oct 17, 2013 Posts 58 Reaction score 11 Dec 14, 2013 #5 Shida haipo kwa wawekezazi bali ni huko uhamiaji walikompa kibali cha kuganya kazi nchini
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,301 Dec 14, 2013 #6 Hyo sio tanzania hata mazingira tu yanaonesha..
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,820 Dec 14, 2013 #7 Tyta said: Mitaa ya Buguruni Mchina Akiuza Mahindi ya Kuchoma Click to expand... Hii buguruni ya wapi jamani? ya uchina? mbona hapaelekei kama ni buguruni? kuna mtu pembeni kavaa koti la baridi, muuza mahindi mwenyewe kavaa koti la baridi, gari nyuma namba nyeupe. Sign post nyuma ni nene sana na siyo kama za kwetu. Huu utakuwa ni uongo.
Tyta said: Mitaa ya Buguruni Mchina Akiuza Mahindi ya Kuchoma Click to expand... Hii buguruni ya wapi jamani? ya uchina? mbona hapaelekei kama ni buguruni? kuna mtu pembeni kavaa koti la baridi, muuza mahindi mwenyewe kavaa koti la baridi, gari nyuma namba nyeupe. Sign post nyuma ni nene sana na siyo kama za kwetu. Huu utakuwa ni uongo.
mjasiliaupeo JF-Expert Member Joined Apr 21, 2013 Posts 2,170 Reaction score 3,107 Dec 14, 2013 #8 sio buguruni. thread closed
BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,462 Reaction score 7,010 Dec 14, 2013 #9 hapo ni cameroon
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Dec 14, 2013 #10 Tyta said: Mitaa ya Buguruni Mchina Akiuza Mahindi ya Kuchoma Click to expand... Mbona background inagomba kuwa ni Bongo?
Tyta said: Mitaa ya Buguruni Mchina Akiuza Mahindi ya Kuchoma Click to expand... Mbona background inagomba kuwa ni Bongo?