Wawekezaji wa ndani mpo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawekezaji wa ndani mpo?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MamaEE, May 24, 2012.

 1. MamaEE

  MamaEE Senior Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Natafuta wawekezaji wa ndani (aka WaTanzania) ili kuunganisha nguvu na kuanza miradi ya ukweli. Hili linawezekana maana tayari kuna mambo mazuri yanaendelea chini ya uongozi wa Malila na wengineo. Nafikiri tukipata watu kama 20 wenye kubobea kwenye sector tofauti na kiwango cha uwekezaji iwe $10,000 - $100,000 kila mtu, tutakuwa na pazuri pa kuanzia. Sio lazima ujibu hapa unaweza kunipm pia.
   
Loading...