Wawekezaji Mtaani kwetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawekezaji Mtaani kwetu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by NATA, May 25, 2011.

 1. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Uswahili ni kwetu kuna wawekezaji kutoka china.
  Jamaa ni balaa wanaharibu miundo mbinu ya kimasikini tuliyo nayo ile mbaya kwani wanapitisha yale maroli yanayobeba macointainer bila huruma na kusababisha barabara kudidimia na kuwa kisiwa kila baada ya nvua kunyesha.

  Wanamtaa wote hatuoni faida ya hawa wawekezaji kabisa zaidi wanaleta machungu kwa sisi tunaotumia barabara hiyo.

  Serikali inapaswa kuangalia haya mamabo ya wawekezaji kujiamulia mambo mengine yanayo kera raia na kuharibu miundo mbinu yetu
   
 2. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Ni malori mangapi kwa wastani yanayoendeshwa na wachina, na mangapi yanayoendeshwa na wasio wachina (ambao pengine nao si watanzania, ila ni weusi)?

  Isije ikawa kama magazeti ya shigongo ambaye akiona machinga wa kichina watano, anasema wachina wamejaa. Lakini kukiwa na wasomali au wakenya 20, hamna kinachosemwa!
   
 3. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hivi hawa jamaa ni wawezekaji kweli au ujanjaujanja.....
   
 4. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,624
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  hakuna serikali ya mtaa hapo kwenu?? hakuna wajumbe wa shina?? wanafanya kazi gani??? anzia huko
   
 5. B

  Bobby JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,683
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Hivi kama serikali kuu imelala usingizi fofofo inaota ndoto mchana kweupe unategemea serikali ya mtaa-kata-wilaya-mkoa zifanye kazi? Hili ni gumu sana na haliwezi kutokea kwani culture ya utendaji kazi ni kama zilivyo culture zingine huwa zinajengwa top-down na si down-top. So ni maumivu tu mwanzo mwisho.
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Yote ya hapa mtaani kwetu ni wachina tu hakuna wawekezaji wengine wa kigeni wanaoishi uswahilini kwetu ni hawa ndugu zetu wakwa MAO
   
 7. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wawekezaji, wamekuja kwa mgongo huo!
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wanagopa hata kuwasogelea, wanawaheshimu au wanawaogopa sijajua
   
Loading...