Wavuvi kueni makini

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
917
Reaction score
597
Mcheki huyu samaki alivyo badilika nakuwa nusu mtu huko mamtoni

 

Attachments

  • Fish Turns Half Human Half Fish In Ibadan Oyo State.jpg
    7.4 KB · Views: 1,121
Samaki wa ajabu nadhani siku si nyingi
nao watatawala dunia.
 
...lazima atakuwa mtamu sana huyu mdudu...
 
mhh nimesikia leo redioni kutoka magazetini kam asikosei gazzeti la Jamboleo wameandika samaki amebadilika kuwa mtu baada ya kuvuliwa, huko sijui nigeria au ni ghana! labda waliosoma hizo habari watuambie hapa!
 
UKIMLA HUYO NI Dawa ya UKIMWI NA UNAKUA UTOKI TOKI NJE YA NDOA KWA WALE WALIOMO.
 
Mcheki huyu samaki alivyo badilika nakuwa nusu mtu huko mamtoni


It is just the question of evolution. Baada ya muda atakuwa binadamu kamili. Just like the monkeys changed to human beings,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…