Wavuti ya Soko la hisa Dar es salaam (DSE) Imedukuliwa

AbaMukulu

JF-Expert Member
Jan 1, 2018
2,048
3,571
Tovuti ya Soko la hisa Dar es salaam imedukuliwa muda huu (saa 1:49 jioni EAT).
Wadukuaji hao wameweka matangazo ya dawa za kuongeza nguvu za kiume kwa lugha ya kijapani.
Wahusika imarisheni ulinzi kwani hii sio mara ya kwanza kukutana na udukuliwaji huu kila ninapotembelea wavuti hiyo
Screenshot_2019-10-28-19-42-49.png
 
Back
Top Bottom