Wavuta sigara wengi ni wachafu sana

Wavuta sigara wengi ni wachafu sana

15C22176-F133-4F2A-8B2C-621E0E0A3EE8.jpeg
Mouth spray???? Sijawahi sikia
 
Hata Warioba naye anachomaga fegi ila anazidi kuchonga tu.

Hii kitu ni hatari kwa afya yake.
Warioba ni Old School smoker
Kama mar...Bob Makani kwa wazee wa zamani
the ,"elite" kuvuta sigara ilikuwa ni sehemu ya sifa
kwamba umeelimika
 
Kati ya vitu ambavyo huwa vinadhihirisha ujinga wa mwanadamu ni kuvuta sigara!
Wachina karibu %70 wanavuta sigara, Sidhani kama kweli wewe ni mwelevu, kuliko wananchi hawa wanaotoka Taifa, lililoendelea.
Maana mpaka wasomi wa hadhi ya juu wapo wanaovuta, na kunywa.
Hata wale unaowaona ndiyo wastaarabu na ukavuata ustaraabu wao, pia wapo wavutaji sigara, na wanywaji wa pombe.
 
Hapo kwenye ndevu kuna mushkiri... Lakini sigara hakika
 
Inashangaza sana!

Wengi wanaopenda kuvuta sigara huwa ni wachafu sana.Mbaya zaidi mkute mtu anayevuta sigara na kunywa pombe hasa 'Konyagi'! Watu hawa hutoa harufu kali sana mwili (kwenye nguo) na kwenye vinywa vyao.

Na mbaya zaidi wengi wao hupenda kufuga ndevu sana.

Kuna uhusiano gani kati ya kuvuta sigara na mtu kuwa mchafu mpaka kero?
Najiulizaga tu
Hivi wake zao wana uvumilivu gani?
 
Mouth spray???? Sijawahi sikia
Kachupa flani kadogo kanakuwa kama kaperfume lakini kenyewe unajipuliza mdomoni maji yake unasukutua kama dakika unatema!!...mdomo unakua unanukia harufu tamu hivi!!..
 
Back
Top Bottom