Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Inashangaza sana!
Wengi wanaopenda kuvuta sigara huwa ni wachafu sana.Mbaya zaidi mkute mtu anayevuta sigara na kunywa pombe hasa 'Konyagi'! Watu hawa hutoa harufu kali sana mwili (kwenye nguo) na kwenye vinywa vyao.
Na mbaya zaidi wengi wao hupenda kufuga ndevu sana.
Kuna uhusiano gani kati ya kuvuta sigara na mtu kuwa mchafu mpaka kero?