Wavivu utawajua tu !

Shemeji unataka kufundishwa kulala???? Unataka niamini hujui na hujawahi kulala?? Au unataka niitumie @ vizuri??

Hahaa shemeji hiyo acha kabisa uusiitumie..... Anataka anifundishe jinsi ya kubalansi nikifumba macho ili kama ni 5:50 nikifumbua tena iwe 5:51
 
Dah!! Hiyo kitu achana nayo kabisa...mie mara kibao huwa naizima alarm alafu badae najilaumu kwanini niliizima.
 
Hahaa shemeji hiyo acha kabisa uusiitumie..... Anataka anifundishe jinsi ya kubalansi nikifumba macho ili kama ni 5:50 nikifumbua tena iwe 5:51

Shemeji hii si sawa kabisa, nimjuavyo blaza amesomea mambo hayo, iweje leo ashindwe kukufundisha??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…