Mulugo kama N/waziri wa elimu ndiye kiongozi mvivu ambaye historia ya nchi yake anaijua lakini kapotosha.sasa mimi mwanafunzi wake nisemeje kwa tarakimu kama hiyo?basi duniani wote wavivu maana tupo Biln 24 wewe umesema Biln 25 ukiongeza na panya Biln 1
Data source:idadi ya watu duniani