mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 822
- 1,345
Wanajamvi......nimeumia sana juu ya msiba uliopita na nasikia mengi kuhusu huo msiba lakini hayatabadili kitu sasa hivi The great is gone jamani....sasa kwa hawa waliobaki nimethibitishiwa na baadhi ya wasanii wa kike kua eti style mpya siku hizi ni kuvaa nguo za juu tu namaanisha sketi na bla ama gauni....
huko ndani hua pako empty yaani bilia kufuli aka chu*******i nilihoji kwa nini lakini hawakua na sababu ya mhimu ya kuniconvice badala yake waliniconfuse.....hivi jamani huu utamaduni unatoka wapi hasa.....?
Niliendelea kudodosa kua kwa nini wanaandikwa hivyo na magazeti pendwa mmoja kati yao akanithibitishia kua kuna mwandishi kama si kanjanja anaitwa MATESO huyu ni bingwa wa kuandika hizo habari na anahongwa elfu kumi mpaka ishirini ili atoe habari ya msanii huyo aliepejipeleka na wasanii hao mara nyingi huamini kua umaarufu hauji bila skendo......!
Nilifikiria sana nikasema inakuaje hawa watu wanakosa hata akili kidogo ya kupambanua haya mambo na huyu mwaandishi hii ni njaa ama nini...? Wana jamvi nawasilisha hebu naomba maoni yenu.
Mi napita lane: