wauzaji wanatia hasara katika biashara

kinywele ki1

Senior Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
119
Reaction score
23
Wauzaji wengi walioajiriwa katika biashara wengi wamekuwa wadokozi wa pesa wengine wanahonga wanawake hadi kupelekea hasara kwa mwenye duka. Mi naona kama mtu unauwezo wa kukaa mwenyewe kusimamia game wenye biashara wangepata hela sana.mfano mim kunakijana nilimtoa kijijini aje aniuzie duka langu lakin kanitia shoti sana kala hela kanunua sim za bei na kwa wasichana usiseme nimemrudisha kwao nimeamua kukaa mwenyewe mana nilikuwa nimesafir
 
Unamlipa kidogo sana ndio maana anaona hamna atachopoteza hata kama duka likifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…