wauzaji wa mapazia ya mtumba

wauzaji wa mapazia ya mtumba

fukunyungu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
717
Reaction score
195
Habari zenu wakuu,, tunauza mapazia ya mtumba grade 1 na ni mazuri .kwa anayeitaji anakaribishwa sanaa. yanapatikana tegeta nyaishoz
Namba ya Simu : 0712624800
 
Hayo mapazia unauzia hapa Online?, andika yanapatikana wapi, bei ya pazia, vipimo vyake, n.k funguka jamaa yangu
 
Inaelekea bishara yako ya siri kama unyago, kaa nayo yakuozee

Kama ni mfanyabishara siriaz ungeweka taarifa za kufanya wateja waweze fika dukani kwako, Tegeta kubwa au unajulikana sana kiasi kwamba nikienda kituo cha polisi nikakuulizia watanileta?

Unatembeza au kuna mahali una duka!??[/QUOTE. natembeza na pia duka maeneo ya tegeta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom