Wauzaji simu wa kimataifa

JEMEDARI .H.

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
341
Reaction score
63
Jamani hebu mnisaidie hivi wale wanaojitokeza kwenye inauzwa.com na kutangaza kuuza simu kama Baazar,Mobilestorearena na Directshopping kutoka USA,Kenya na Dubai wakisema buy 2 get 1 free and free shipment na bei zao ni hizi Aple iphone 5s 64Gb 450USD na Samsung galaxy note 3+ gears 350USD.Hivi ni kweli hawa watu ni wauzaji wa cm na ni watu wa kuaminika? Mwenye ufahamu anijuze.
 
mkuu wale ni wanigeria a.k.a scammers ni matapeli tu.
 
Kwa hiyo ukituma pesa unaliwa?
Usijaribu kununua hizo simu, fedha itakwenda na simu hutopata​
Kama unahitaji simu na ikufikie tumia haya masoko
  • Amazon.com
  • aliexpress.com
  • ebay.com
Pia hakikisha malipo yako haufanyi direct kupitia kadi yako ya benki [ except amazon wako safe]
  • Fungua account paypal
  • Link card yako
Kwa kujifunza na msaada zaidi ingia hii link

>>| https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...unuzi-kwenye-mtandao-ebay-amazon-bestbuy.html

>>| https://www.jamiiforums.com/tech-ga...funze-jinsi-ya-kufanya-manunuzi-kwa-ebay.html |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…