Wauzaji balo za mtumba grade 1 quality

Wauzaji balo za mtumba grade 1 quality

Villanova tito

Senior Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
148
Reaction score
154
WHATAPP GROUP LA MITUMBA Vunjabei balo za mtumba grade1 group 3

Karibuni sana jaman mjipatie balo za mtumba grade1 kutoka china uk Canada Dubai Korea

Tuna balo za nguo aina mbalimbali na Kila balo Lina nguo yake na bei yake mfano balo la shati ni shati tu t-shirt ni t-shirt tu Jean's

Tunapatikana ilala boma sokoni dar es salaam

Mawasiliano 0657710078

MKOANI tunatuma

FB_IMG_1750094194896.jpg
FB_IMG_1750094184573.jpg
FB_IMG_1748449223131.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1748618224332.jpg
    FB_IMG_1748618224332.jpg
    119.3 KB · Views: 20
  • FB_IMG_1748449218312.jpg
    FB_IMG_1748449218312.jpg
    84 KB · Views: 16
  • FB_IMG_1748449215615.jpg
    FB_IMG_1748449215615.jpg
    49.8 KB · Views: 18
Yaani mzungu kazivaa Hadi kuzijambia na kuzitupa then waafrika tunazinunua.Kwa Nini tusitengeneze wenyewe nguo zetu tuzivae halafu zikichakaa ndiyo tuwauzie wazungu?Maana pamba ipo ya kutosha kabisa.kuishi bila mtumba inawezekana
 
Mzungu avae nguo iliyovaliwa na nyani kweli??
 
Ila zina dumu sana
Yaani mzungu kazivaa Hadi kuzijambia na kuzitupa then waafrika tunazinunua.Kwa Nini tusitengeneze wenyewe nguo zetu tuzivae halafu zikichakaa ndiyo tuwauzie wazungu?Maana pamba ipo ya kutosha kabisa.kuishi bila mtumba inawezekana
 
Hii biashara ya mitumba imeshamiri sana siku hizi. Sijui ndiyo dalili ya nchi kuendelea!! Na tunaposema mitumba kutoka China, Canada, Dubai, nk. Tunamaanisha nguo zilizovaliwa na watu wa hayo mataifa, halafu baada ya kuzichoka wanazitupa; na watu wenaziokota na kuziweka kwenye hayo mabalo! Kisha wanakuja kutuuzia sisi watu wa ulimwengu wa tatu.

Nyerere alijaribu kuanzisha viwanda vya nguo mfano Urafiki, Mwatex, nk. huku akipiga marufuku hii biashara ya mitumba! Na bado alishindwa vibaya. Viwanda vyote vilishindwa kujiendesha! Vingi vilikufa, vichache vikageuzwa kuwa maghala na Wahindi, nk.
 
Hao wazungu wenyewe mbona wana vaa mitumba pia tena sana.
 
Hata huko ulaya second hand wanavaa labda jina tu hatufanani vipato bro
 
JamiiForums

Wauzaji balo za mtumba grade 1 quality​

Jump to newUnsubscribe
•••

Villanova tito

Senior Member​

WHATAPP GROUP LA MITUMBA Vunjabei balo za mtumba grade1 group 3

Karibuni sana jaman mjipatie balo za mtumba grade1 kutoka china uk Canada Dubai Korea

Tuna balo za nguo aina mbalimbali na Kila balo Lina nguo yake na bei yake mfano balo la shati ni shati tu t-shirt ni t-shirt tu Jean's

Tunapatikana ilala boma sokoni dar es salaam

Mawasiliano 0657710078

MKOANI tunatuma
 
Attachments

  • 1753637154516.jpg
    1753637154516.jpg
    359.6 KB · Views: 19
  • 1753637149719.jpg
    1753637149719.jpg
    354.4 KB · Views: 17
  • 1753637141648.jpg
    1753637141648.jpg
    361 KB · Views: 18
  • 1753636219026.jpg
    1753636219026.jpg
    548.3 KB · Views: 20

Similar Discussions

Back
Top Bottom