Wauza smartphone tukutane hapa

Google Pixel 6Pro (Dubai version)
RAM: 12gb , ROM: 128gb
Camera resolution: 4K
Warranty: 6 months

๐Ÿ’ฐ๐Ÿ’ฐ Tsh.930,000

๐Ÿ“ž: +255 687 600 847
Exchange: โœ”๏ธ


 
Kwa hivyo unawatukana wateja wako sio?
Boss wangu; kwanza kabisa binafsi sijaona Kama nimewatukana wateja wangu labda unifafanulie zaidi...

Na yote kwa yote ni kwamba nimeongea kitu ambacho nina uzoefu nacho
Mfano 1;
Kuna huyo mteja ๐Ÿ‘‡ Twitter aliuliza Kama tunafanya top up na ilihali kwenye post husika imeoneshwa kwamba exchange(neno ambalo tunalitumia interchangeably na top up) inawezeakana na kwenye pinned Tweet kuna jibu la swali lake pia






Mfano 2;
Kuna huyo mteja ๐Ÿ‘‡mwingine huko huko Twitter aliuza bei na ilhali Kuna bei kwenye post husika



Na hata wafanyabiashara wengine wamekuwa wakidai kuulizwa bei na ilhali bei imewekwa kwenye post(chapisho ) ya bidhaa husika

......

๐Ÿ™ ๐Ÿ™ Naomba niwie sana radhi Kama nitakuwa nimejibu kwa lugha ya ukali boss wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ