nashaiuza mkuuOk Unapatikana wap?
ohooo naona unataka ligi, Wakuu naomb mwenye kuweza ku upload picha ya A8 plus hapa afanye hvyo tujue nan anataka kuharibu biashara ya mwenzake, kama kuna samsung yeyote OG Kama hio m nakunya mpk posta bila kuacha nafasi na ninaomba ban mwenyeweYaani umekosea halafu unarudia kupost.
Umenikwaza ndio.
Jipige selfie uone kama mfuko wa shati utakuwa upande gani?
Hakuna ambacho uko sahihi hata kimoja,hizo ni picha tu,hivyo ukifuta hayo maelezo yako itapendeza zaidi.
Tena nimeandika maswali uliza kwenye simu sasa wewe unaamua kuniharibia biashara.
Sihitaji ligi ila nakuomba futa maelezo yako kila mmoja aendelee na mambo yake.
Ndiomaana wanashauri tutumie majina feki maana huku Jf ni shida.
Nipe TZS 550,000, Nikupe iliyotumika Dubai! Kama mpyaWazee s7 edge mpya kbsa kwa 600k napata?
mkuu malelezo sifuti na mbaya zaid umeya quote mwenyewe, unless otherwise ukili kama hio simu n fake na uiuze kwa bei ya fake hapo tutaongea lugha moja ila sio upige mtu kama ulivyotaka kunipiga mimi nikae kimya, nilikuona tangu majuz nikakausha ila uliharb jana uliponi quote uniuzie yako wakat natafuta s7 edge,Sihitaji ligi ila nakuomba futa maelezo yako kila mmoja aendelee na mambo yake.
Ndiomaana wanashauri tutumie majina feki maana huku Jf ni shida.
na pm mkuuNipe TZS 550,000, Nikupe iliyotumika Dubai! Kama mpya
n ya mtu ndugu anapenda edge na bajet yake inakwamia hapo, oky waweza nishaur nikaongea nae akanisikiliza, hz new models ipi naweza pata kwa bei hio kuachana na ma J yote, ningependa unishaur kat ya A-series au C-seriesUmevutika na nini kwenye hiyo simu ya 2016:mbona kuna simu za mwaka huu kali sana tu?
Karibuna pm mkuu
nafanya hvyo kwa sbb umeniomb na kwa sbb unatumia jina halisi isije ikakuharibia baadae, ila kwanza naomb ukiri kama umekosea?Ukifuta yako,yangu hayana shida,wewe futa tu na hutaona tangazo langu tena.
Nakuomba
nafanya hvyo kwa sbb umeniomb na kwa sbb unatumia jina halisi isije ikakuharibia baadae, ila kwanza naomb ukiri kama umekosea?
hahaaa mzee mimi simu na Pc nimecheza navyo sana yan kama muuzaji vile, hunidangany kuanzia kwenye boksi, huyu ndugu yetu inatakiwa awe tu mpole mi nitafuta kumsaidia japo alitaka apige watu humu, sasa anavyoleta ubish na ujuaji wa kujitia kukiri halaf anaongezea kejeli anajiharibia mwenye mwishowe nitaghaili kufuta, anasubr wenye vichwa vyenye moto waamke huko waje kumsumubua, sina nia mbaya nae kuanzia mwanzo na ndo mana nikakubar kufuta mana mwingne hata asingemsikilizaMkuu wewe mtata sana
hahaa mkuu sio kama unataka unitie korokoroni mjini hapa ndugu? Kukupa jina halisi n inshu sensitve kdg, Halaf m fb sipo wala insta, n twitter na humuReyzzap naomba unipm jina lako fb nikufollow asee uko deep sana mkuu.
arusha mkuu ntakutafuta tukapate nyama kwa moromboHahaaa... Hapana bhana mi mtu wa kawaida sana ndg wala siyo mfuasi wa siasa ila huwa napenda kufollow watu wanaojua vitu vingi ili nijifunze tu.
Am just a sec school teacher in Arusha so stay cool bro.