Idriss mobile phones
Wanakletea offer ya simu pendwa Samsung brand new full box and Slightly used in abroad (UK and US).
1.Samsung Galaxy s4
Sh 250,000/-
2. Samsung Galaxy s5
Sh 290,000/-
3. Samsung Galaxy s6
Sh 390,000/-
4. Samsung Galaxy s6 edge
Sh 530,000/-
5. Samsung Galaxy s6 edge plus
Sh 600,000/-
6. Samsung Galaxy s7
Sh 550,000/-
7. Samsung Galaxy s7 edge
Sh 750,000/-
8. Samsung Galaxy Note edge
Sh 450,000/-
9. Samsung Galaxy Note 5
Sh 550,000/-
Contacts 0652332255
Kwa specifications za kila simu and inquiry waeza wasiliana nasi kupitia 0652332255.
Tupo Kariakoo Agrey na Msimbazi st,
Pia Tupo Ilala Bungoni.
Lakini pia twafanya free delivery Kwa Dar.
nataka tecno bossi c9Njoo uchukue Grand prime plus
Nokia 2 ipo imetumika mwezi mmoja, mint condition bei 320,000Kuna mtu anauza Nokia 6 ya mwaka 2018?
Bei rahisi sio copy mkuu[/QUOTS
Sio copy boss wangu.
Karibu
Kuna note 2 mkuu inataka 200k tuuYeyote mwenye note3 karibia na mpya kabisa tuchekiane
Mkuu usiwe na shaka....ukiiona beba hutajuta aiseeNaomba kujuzwa ubora na uimara wa simu za oppo.. muhimu sana..
Tecnotecno wx3 inauzwa kwa bei pow 12k location kawe or ncheki 0765581519
Mkuu. Hivi hizi simu yaani s6&s7 edge ni single au double line? Nielimishe mkuuOffer Offer Offer
Samsung Galaxy s6 edge plus 64 GB Full box for only 620k
Color Dark blue
Memory 64 gb
Ram 4 gb
Camera 16 mp
Network 4G LTE
Made in Korea
Official unlocked Verizon (US)
Samsung- SM- G928V
Android version 7.0 nougat
Price 620,000/-
Warranty 12 Months
Constants 0652332255
Tupo Ilala, Kariakoo pia waletewa Ulipo ukitaka.
Ni single line boss wangu,Mkuu. Hivi hizi simu yaani s6&s7 edge ni single au double line? Nielimishe mkuu
Shukrani sana kwa ushauri wako..oppo,vivo,xiaomi na gionee ni brand za china zinazofahamika na kuheshimika dunia nzima,ukikutana na moja wapo ya hizo nununa mkuu wala usiwe na hofu,achana na matekno yanayouzwa afrika tu hata huku china zinakotengenezwa haziuzwi.
Mkuu note 8 waweza niuzia bei gani?Ni single line boss wangu,
Even though huwa kuna duos chache sanaaa tena nyingi ni regional phones.