Wauza nyama za binadamu

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686
IFAHAMU VYEMA HOTEL ILIYOKUWA INAUZA NYAMA ZA WATU ILIYOBOMOLEWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI



HAPA WANANCHI WAKIIVUNJA HOTELI HIYOPolisi walifanikiwa kuvikamata vichwa hivyo baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema wanaoishi karibu na hoteli hiyo ambapo mbali na vichwa hivyo viwili lakini pia walikamata bunduki mbili aina ya AK47,kofia mbili za jeshi pamoja na simu nyingi.
Watu saba wanashikiliwa na jeshi lapolisi nchini Nigeria katika hoteli moja iliyopo karibu na soko moja maarufu sana nchini humo linalofahamika kwa jina la Ose-Okwodu katika mji wa Anambrabaada ya kukamatwa kwa vichwa viwili vya binadamu vikiwa bado vibichi lakini jina la hoteli hiyo linahifadhiwakutokana na sababu za kiusalama
hotel human heads in onitsha


MOJA YA NYAMA (MINOFU) ZA NYAMA YA BINADAMU ZILIZOKUTWA KATIKA HOTELI HIYO
“kila wakati nimekuwa nakuja hapasokoni na kufanya biashara zangu katika hoteli hii kwasababu ipo karibu sana na soko.lakini nilikuja kugundua mambo ambayo sio ya kawaida ikiwemo watu wakiingia na kutoka katika hoteli hii,chakushangaza zaidi ni kutokanana watu hao kuwa ni wachafu sana wakati mwingine wakiwa wamechafuka damu,kwahiyo sikushangaa sana kusikia polisi wamegundua unyama huo jana asubuhi”alisema jamaa mmoja muuza mboga mboga katika eneo hilo

NIGERIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…