Mkuu usiwe mbishi mimi mwenyewe kuna ballo nimetafuta kule kwa wahindi nimekosaKila mtu ana aina ya biashara ya aina yake mwingine anahitaji nguo za watoto, mwingine za kiume mwingine za kike, ninapomwambia mtu njoo whatsapp ni tuweze kuulizana maswali yote hayo, hapa tutajaza uzi na km ukiangalia majibu kuna niloyemjibu bei ni kuanzia 650,000 kuja chini. kila aina ya nguo na bei yake, Nadhani nimeeleweka.
Kama ni mfanya biashara wa kweli sioni tatizo, wenye nia ya kweli wanauliza maswali na nawajibu, na tunaendelea na process inayofata. Watu wengine kazi kukosoa/dharau na kuvunjana moyo tu, hakuna cha zaidi. WATANZANIA ndio maana hatuendelei.Mkuu usiwe mbishi mimi mwenyewe kuna ballo nimetafuta kule kwa wahindi nimekosa
Nimetamani kulipata kwako ila kwa majibu ya kwenda whatsap mmmh haya kila la kheri.
Hizo zote sina my dear.Mie nataka belo la masweta yenye Kofia na majaketi ya water Proof yenye Kofia na mikono mirefu. Kama unayo nipe bei yake fasta
Fanya mpango nitafutie huko unakochukua mzigo. Nitafutie zile kali nipo Mafinga na ukipata nijulishe hapaHizo zote sina my dear.
Ok all the best.Kama ni mfanya biashara wa kweli sioni tatizo, wenye nia ya kweli wanauliza maswali na nawajibu, na tunaendelea na process inayofata. Watu wengine kazi kukosoa/dharau na kuvunjana moyo tu, hakuna cha zaidi. WATANZANIA ndio maana hatuendelei.
Nipe number yako ya simu km hutojali . au niandikie kwenye simu yangu hiyo kwenye tangazo.Fanya mpango nitafutie huko unakochukua mzigo. Nitafutie zile kali nipo Mafinga na ukipata nijulishe hapa
anayekuvunja moyo nani ? huo muda wa kumjibu kila mtu whatsapp si ungefanya mambo mengine kama kila kitu ungeweka wazi hapaKama ni mfanya biashara wa kweli sioni tatizo, wenye nia ya kweli wanauliza maswali na nawajibu, na tunaendelea na process inayofata. Watu wengine kazi kukosoa/dharau na kuvunjana moyo tu, hakuna cha zaidi. WATANZANIA ndio maana hatuendelei.
biashara zetu tunazifanya kiajabu ajabu sana mtu anauliza bei unamwambia aje whatsap, unaulizwa kila kitu njoo whatsap watu wengine wanaogopa security ya namba zao. isitoshe tupo wengi tunaopenda kujua hata hizo bei sasa kama kitu ni njoo whatsap inakuwa shida kidogoHii ipo kwa wafanya biashara wengi sijui kwanini
Nani kakwambia uzi unajaa? Kwani umesikia wamiliki wamelalamika?Kila mtu ana aina ya biashara ya aina yake mwingine anahitaji nguo za watoto, mwingine za kiume mwingine za kike, ninapomwambia mtu njoo whatsapp ni tuweze kuulizana maswali yote hayo, hapa tutajaza uzi na km ukiangalia majibu kuna niloyemjibu bei ni kuanzia 650,000 kuja chini. kila aina ya nguo na bei yake, Nadhani nimeeleweka.
Dalali haooooSasa kama kila kitu unasema "NJOO WHATSAPP", sasa umeleta huku JF taarifa ya kazi gani..?? Si ungetusubiri huko huko whatsapp tuje...!!!!
Ukiweka bango la biashara, disclose details zote muhimu ili uache wanunuzi waamue. Sasa kila kitu unaficha, ukiulizwa unasema njoo watsapp.
Huo udalili magumashiHii ipo kwa wafanya biashara wengi sijui kwanini