Nuru Mabrouk
Member
- Feb 1, 2018
- 14
- 12
Mkuu ainisha bei na aina ya bidhaa tuangalie uwezo wa kujichanganya mkuu.Ni wauzaji wa mitumba kwa jumla (Mabalo), tunapatikana Mapambano karibu na Zahanati ya kijitonyama, tuna tunatuma Mikoa yote, kwa mawasiliano zaidi piga/Whatsapp number 0715559494. Karibuni sana
Dada ainisha bei hata kesho naweza nunua za kikeNi wauzaji wa mitumba kwa jumla (Mabalo), tunapatikana Mapambano karibu na Zahanati ya kijitonyama, tuna tunatuma Mikoa yote, kwa mawasiliano zaidi piga/Whatsapp number 0715559494. Karibuni sana
Bei zetu zinaanzia 650,000 kuja chini, mabalo ni ya 45kg, Njoo whatsappDada ainisha bei hata kesho naweza nunua za kike
Njoo WhatsappLA bei ndogo sh ngapi
Kwa mawasiliano zaidi njoo whatsappBei zenu vip
Hatuna mabalo ya viatu, kuna mabalo ya nguo za kike, zakiume chache, na hand bagsBaro la viatu vya kike bei?
Njoo Whatsapp
Hii ipo kwa wafanya biashara wengi sijui kwaniniSasa kama kila kitu unasema "NJOO WHATSAPP", sasa umeleta huku JF taarifa ya kazi gani..?? Si ungetusubiri huko huko whatsapp tuje...!!!!
Ukiweka bango la biashara, disclose details zote muhimu ili uache wanunuzi waamue. Sasa kila kitu unaficha, ukiulizwa unasema njoo watsapp.
Wanaboa sn. Yan marketing mbovu kabisa. Funguka vizur mpk watu tukose swali la kukuuliza. Sasa unaandika unafichaficha vitu, halafu ukiulizwa unasema njoo watsapp. UjingaHii ipo kwa wafanya biashara wengi sijui kwanini
Kila mtu ana aina ya biashara ya aina yake mwingine anahitaji nguo za watoto, mwingine za kiume mwingine za kike, ninapomwambia mtu njoo whatsapp ni tuweze kuulizana maswali yote hayo, hapa tutajaza uzi na km ukiangalia majibu kuna niloyemjibu bei ni kuanzia 650,000 kuja chini. kila aina ya nguo na bei yake, Nadhani nimeeleweka.Sasa kama kila kitu unasema "NJOO WHATSAPP", sasa umeleta huku JF taarifa ya kazi gani..?? Si ungetusubiri huko huko whatsapp tuje...!!!!
Ukiweka bango la biashara, disclose details zote muhimu ili uache wanunuzi waamue. Sasa kila kitu unaficha, ukiulizwa unasema njoo watsapp.
Wanaboa sn. Yan marketing mbovu kabisa. Funguka vizur mpk watu tukose swali la kukuuliza. Sasa unaandika unafichaficha vitu, halafu ukiulizwa unasema njoo watsapp. Ujinga