thefreedot
Senior Member
- May 21, 2015
- 135
- 25
Nauza laptop hii ya Dell...Duo Core 2.3ghz..ram 2gb...hdd 250gb
Bei Tsh. 450,000 napatikana Dar..Mikocheni
Bei Tsh. 450,000 napatikana Dar..Mikocheni
We ulikua una sh. Ngap Kwan...???Tatozo duo core unauza bei kubwa kuliko hata i3... unadhani tutakutanaje!..
Wapi hapo nami ninunue?kwa hiyo bei napata core-i5 hdd-500gb ram 4gb
kariakoo zipo, pia machinga complex.Wapi hapo nami ninunue?
mkuu unazo aina gani, ina vigezo gani na imetumka Mda gani.Laptop yenye hvo vgezo mm nauzaga 250000
1TB na 8GB pamoja na 1.60GHzNahitaji LG laptop with Minimumum specification RAM 4GB, Harddisk at least 500GB,With Processor duo core or I series,mpya au used kuna 500K kwa used, Mpya tunaweza elewana kutokana na Specification....Karibuni wadau.
Tupia picha mkuu tuone au ishauzika? Na hei ni fixed au negotiable?Laptop(almost new) aina ya Dell Inspiron 15 3000 Series Core i5 RAM 4GB,500GB HDD kwa sh.500000 inakaa na charge masaa saba hadi sita kwa kazi za kawaida na masaa manne hadi matano kwa movies/streaming piga 0656166717 kwa biashara zaidi na picha kama utahitaji.
Imeshauzwa boss.Tupia picha mkuu tuone au ishauzika? Na hei ni fixed au negotiable?