of course instant ni ya kimaskin. sabab ukichkua roasted tu mfuko wa 500gm ni 30k. double filter. faida za kiafya za kahawa ni kubwa mno. for ignorance most Tanzanian sees coffee as special kwa wazungu.Instant coffee ni za kimasikini.
sijakataa zile ni espresso.kammq unapenda light unaomba cappuccino au latte.Aisee ile kahawa inayotengenezwa kwenye viosk kule kwa wazungu ni chungu balaa utafikiri wanaweka kwinini. Sema ile hali ya hewa ya ubaridi inawafanya wazungu wapendelee kunywa kahawa zaidi kuliko watu tunaokaa nchi za joto.
Uchakachuaji upo juu sana kwa Dar, ndo maana inatakiwa kuwa makini sana unaponunua mahitaji.sijakataa zile ni espresso.kammq unapenda light unaomba cappuccino au latte.
nachosema wauza kahawa za vibirika Tanzania kwa sasa ni janga. wameachq kuchemsha buni kwa kuogopa bei mana sokon sasa buni kwa mujibu wa upelelez wang kg 1 ni sh 11500. sasa wanachofanya wananunua yale maunga ya mambengu ya maharo ambayo nayo ni machungu ila yana harufu kama dawa ya kienyeji. kwa expert wa kahawa harufu ya kahawa inasafir masafa marefu . nataka tbs wazuie yale mambegu
ukinywa ya maharage hupati ile stim ya caffein af kooni inakereketa balaa😂😂 kuna mbwa kijiwe cha karume anatupikia maharagesijakataa zile ni espresso.kammq unapenda light unaomba cappuccino au latte.