October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,631
- 5,023
100/= mpaka 200/=Kuna mdau alinieleza Arusha yeye anauza mishikaki shule ya msingi wanafunzi wanauwezo wa kununua kwa bei ya 300 Tzs mshikaji mmoja, kwa DSM wanafunzi hata 100 wanaona nyingi alafu vitu vyote wanavyouza shule za msingi 100 Tzs.
Huyu jamaa tungeongea hili suala ila last seen yake inaoneshwa ajaingia JF muda sana.
Nachotaka kujua kwa mtu aliye Arusha aniambie katika shule za msingi vitu vyao wanauza kwa beigani kachori, Ice Cream nk Inaweza kuwa njia ya kuMake prpability/Hypothesis kuwa kweli uwenda wanafunzi wananunua hata 300 Tzs mshikaki ukiwauzia.
Ningempata anaejishungulisha na kuuza ingekuwa vizuri zaidi ila ngumu kumpata kwasababu hii Biashara sio common.
watoto si unawajua tena wao wanakula tu.Na baridi hii Ice Cream Arusha utamuuzia nani.
Mlifanyiana nini nyie wawili😆😆😆Na baridi hii Ice Cream Arusha utamuuzia nani.
Wanakula wachache mnoooooo mzee baba.watoto si unawajua tena wao wanakula tu.
haya.Wanakula wachache mnoooooo mzee baba.
Hata ikiwa 200 Tzs ndio lengo nataka nijus experience ya maeneo haya mawili.100/= mpaka 200/=
Hahahah bwn mdogo nimempa ukweli(Temp. inafika hadi 10 centigrade) kama ataona namrushia then hapo atapambana na hali yake.Mlifanyiana nini nyie wawili😆😆😆
Hawa watoto wa DSM sio vionjo tu hata uwauzie Alteza mpya watatakabwanunue kwa 100 Tzs.Hao watakuwa shule ya msingi za private.Sidhani kama mwanafunzi wa shule ya msingi atatoa 300 kirahisi anunue mshikaki.Labda hizo bidhaa zako uweke njonjo nyingine kama viazi,carrot n.k.
Huyo jamaa ni mtu wa hovyo.Mlifanyiana nini nyie wawili😆😆😆
Wewe dogo utaendelea kuulizia kila aina ya biashara mpk unazeeka nakwambia.Huyo jamaa ni mtu wa hovyo.
October hebu tuliza bas kichwa chako mdogo wangu!.. umeshajua changamoto ya hiyo ishu? Maana umesema umeanza...kwanini usistick nhuko ulipo ukasoma ramani kwanza!?
Soma mchezo kwanza...ukiona kuna mwanga unaweza jitanua zaidi!
Labda Kama Arusha uwe na sehemu ya kufikia!
Nimekuwasap muda hujajibu...Kilomoja 6000
Others 4000+
Total Mtaji 10,000
Depend na ulaji wa soko, hapo unatoa mishikaki 100 kamili.
100(bei)×100(idadi)= 10,000 Tzs.
10,000(Mapato)-10,000(Mtaji)= 00.
Hapo umepunguza ghalama mpaka mwisho.
Hivi wale wanaouzaga mishkaki ya mia mia faida wanapata wapi?Kilomoja 6000
Others 4000+
Total Mtaji 10,000
Depend na ulaji wa soko, hapo unatoa mishikaki 100 kamili.
100(bei)×100(idadi)= 10,000 Tzs.
10,000(Mapato)-10,000(Mtaji)= 00.
Hapo umepunguza ghalama mpaka mwisho.
SureHivi wale wanaouzaga mishkaki ya mia mia faida wanapata wapi?
Chunguza kiundani biashara.
Tule tumishkaki bhana mi naona mtaji ni nyama na mkaa tu.Maana hata stick zake za kuchomekea nyama ni zile chelewa.Hivi wale wanaouzaga mishkaki ya mia mia faida wanapata wapi?
Chunguza kiundani biashara.
Biashara mwanzo lazima uilee.Sure