Hv huyu amekuja ibadani kweli au amekuja kumshangaa mtumishi
Wenzake wamefunga macho wanapokea mibaraka yeye ndo kwanza amekodoa macho
Huyu mtumishi anaitwa nani na anapatika wapi nikapate upako
Anaitwa Natasha. Ni mkenya. Nina namba zake
Sishangai kwanini wanaume tu ndio wapo frontline kuombewa na mtumishi mrembo,
Huyu mtumishi anaitwa nani na anapatika wapi nikapate upako
Wenzake wamefunga macho wanapokea mibaraka yeye ndo kwanza amekodoa macho
https://twitter.com/coolcolloWewe ulikuwa ibadani au ulikuwa unamshangaa huyo jamaa!?
Anyway;
Huenda jamaa ni bodyguard wa muumini mmojawapo hapo hivyo Yuko kikazi zaidi kuimarisha ulinzi.