GE2025 Waumini wa dini ya kiislamu washauriwa kutoandamana Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wameshauriwa kutoshiriki maandamano yanayohamasishwa kwenye mitandao ya kijamii yaliyopangwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu, na badala yake wajitokeze kupiga kura kwa amani katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe hiyo.

Wito huo ulitolewa jana Oktoba 4,2025 na Shehe wa Msikiti wa Mtambani, Wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es salaam,Shabani Pembe wakati wa Kongamano la Kuombea Uchaguzi, Amani na Dua ya Nchi lililofanyika jijini Dar es Salaam.

“Hakuna muislamu yeyote atakayeingia barabarani kuandamana. Atakayeingia barabarani Oktoba 29 atakutana na mambo yasiyoridhisha na kuipa familia yake shida. Wanaohamasisha maandamano hawapo nchini, hivyo ni heri mkapige kura badala ya kuandamana,” amesema Shehe Pembe.
1759656802915.png
Chanzo: Habari Leo
 
Ubwabwa talking 👄
 
Wakatoliki wakiambiwa waandamane inakuwa nongwa waislam wanatumika kwa sasa kumlinda muislam mwenzao anae walinda waislam wenzao wwzi wa mali za umma
 
Usitegemee masheikh hata siku moja .ufukara wao wa mawazo kwenye jamii wanakugeuka kwa sinia la ubwabwa
Uanaharakati kwenye nchi hii umekata kinafiki sana. RC imekuwa na Nongwa sana pale Rais anapokuwa Islam
 
Inaonekana kwao damu za Waislamu fulani zina thamani kuliko Waislamu wengine.

Huyu anajua kama Mzee Kibao ameacha mjane na watoto?!

CCM wakiamua kufanya ubaya hawaangalii huyu Muislamu huyu Mkristo.
 
Hili swala la kujifanya mna elimu kuliko mashehe na waislam ndo maana wanawatenga, hv dini mbili ni janga kwa maendeleo ya taifa sio kobazi sio makafiri wote ni wapumbavu hakuna alienufaika na elimu hapa Tanzania maana karibu asilimia 75 ya watumishi wote serikalini ni makafiri lakn hakuna la maana walofamya Zaid ya wizi na kujilimbikizia mali.

Makristo na maislamu ya afrika ni janga kwa maendeleo
 
Huyo ni shekhe mtumishi wa ibilisi.

Maandamano ni dhidi ya wahuni, watekaji na wauaji, wahuni waporaji wa rasilimali za nchi, wahuni wadhulumaji haki za wananchi.

Kwani huyo shekhe mjinga, ameambiwa kuwa waislam hawatekwi na kuuawa na wahuni? waislam siyo watanganyika ambao rasilimali zao zinaibiwa? Kwani waislam hawadhulumiwi haki zao kikatiba?

RIP Ali Kibao, na laana iwe juu ya huyo ibilisi aliyeamua kujiita shekhe ili kuwahadaa waislam.

ibilisi kama hawa wanaojifanya viongozi wa dini, siku ile wanatakiwa kucharazwa fimbo 6, na kuambiwa wakome kuwa matapeli wa kutumia dini.
 
Back
Top Bottom