Waume wa mabalozi?

GAMBLER

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2009
Posts
303
Reaction score
12
Jamani wana Jf mara nyingi nimekuwa nikiona kupitia tv, mke wa rais akiwa katika matamasha na sherehe mbalimbali Ikulu huku akiwa na wake wa mabalozi, sasa mimi nilikuwa nauliza hivi kunakuwa pia na umoja wa waume wa wamabalozi???
 
Umoja wa Wanawake wa CCM = UWT,

Je kuna Umoja wa Wanaume wa CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…