Mkuu Mashaxizo nashukuru sana!
Mkuu FANUEL, nashukuru sana, dunia imeshakuwa sio sehemu salama, hakuna wa kutulinda sisi na watoto wetu, tujilinde wenyewe!
Mkuu kawoli, njoo tu pm, hii kitu ni kweli, na wala sio cha wkt uliopita, ni cha wkt huu, na hapa ninareply post yako, keshanichek anataka aje ofisini kwangu, eti kunisalimia then arudi ofisini kwake!
Mkuu screentouch hapo ntakuwa nimekaribisha matatizo makubwa zaidi
Naona multiple ID amejikamatisha..., uhusiano gani Kati ya senior lecturer na slim5 ...? coz mtoa mada na anayepokea hongera ni tofauti au nimeona vibaya....?
Mkuu Elizabeth kakuchanganya hadi umeamua kutumia ID nyingine...hatari sana

CHONA wa CHILONWA!
Tuliooa tuna kazi kubwa!
Ni hivi, kuna mdada mrembo na ana shule yake ya kutosha kichwani, mke wa mtu, ana kazi yake, kuna magumu anayapitia, nikawa ni miongoni mwa washauri wake (kwa yeye mwenyewe kuja kunitaka ushauri!)
Kutokana na yale magumu anayopitia na zile shauri zangu, kukatokea mawasiliano ya mimi na yeye ya mara kwa mara tofauti na mwanzoni, tukajenga mahusiano ya kawaida sana, mchanganyiko wa aina ya kaka-dada ama urafiki, ambao haukunitisha hata!
Sijui ikawaje, yale mazoea yamekuwa tabu! Sasa bidada analazimisha mahusiano ya kingono na mimi. Wala hakuwa na ugumu wa kuficha, alionyesha hisia na baadae akatamka kabisa. Nimeshindwa kuamini kinachontokea! Kiukweli sina interests nae, na kadri ninavozidisha kumkwepa ndio anazidi kuja! Simfahamu mumewe wala hamfahamu mke wangu! Nakiri kosa la kukubali kumsaidia ktk yale magumu yake, leo nayaona majaribu dunia - mke wa mtu! Hatua nilizochukuwa:
- Nimeshamtakia kuwa hatuwezi kuwa wapenzi! Nina ndoa yangu!
- Nimekata aina zote za mawasiliano (simpigii, sichat nae)!
- Sikubali offer yake yoyote ile!
- Nimemueleza hatari za jambo analolitaka, (ndio kwanza kasema sisi ni watu wazima)
Kwa wale tuliooa, nawasihi tuwe karibu na wake zetu, wawe ni zaidi ya marafiki zetu, zaidi ya ndugu, sina ushahidi lkn nahisi huyu bidada ana vitu vidogo vidogo mno, anavikosa kutoka kwa mwenza wake. Bado hakuna dalili ya kumuweka MBALI na mimi! Na ktk vitu nilivomsaidia hakuna hata kimoja interms of cash, ilikuwa ni ushauri tu!
Nipo ktk majuto huku nikitafuta dawa ya kujinasua!

kwann hukutumia id yako ya dhaman ila mungu anajua kuumbua du!!!
Teh, umevua nguo sokoni....I see!