Waume kazi tunayo

Mh. Nirahisi zaidi kwa simba kugairi kula swala wakati ananjaa kuliko mwamaume kukataa kula papuchi, una roho ya ajabu bro kama kweli lakini. nita kupm kwa mshangao zaidi

Mkuu kawoli, njoo tu pm, hii kitu ni kweli, na wala sio cha wkt uliopita, ni cha wkt huu, na hapa ninareply post yako, keshanichek anataka aje ofisini kwangu, eti kunisalimia then arudi ofisini kwake!
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli upele humuota asiye na kucha
 
Nilichokupendea ni kuwakumbusha wenzako kuwa love ni zaidi ya material things...wake zenu wanataka maneno matamu...wanataka kusikilizwa...attention, and the like...

Kweli ww ni Big house!! umeongea point sana,tunahitaji hivo vitu kabisa mana vimekuwa adimu sana.Big up mkuu.....umenikuna sana.Mmesikia wababa?
 
Naona multiple ID amejikamatisha..., uhusiano gani Kati ya senior lecturer na slim5 ...? coz mtoa mada na anayepokea hongera ni tofauti au nimeona vibaya....?

Mkuu we chukua story kama ilivyo, ila slim5 ni mtunzi mzuri wa hadithi
 
Last edited by a moderator:

hebu tuondolee ujinga wako hapa.
 
Mkuu FANUEL, nashukuru sana, dunia imeshakuwa sio sehemu salama, hakuna wa kutulinda sisi na watoto wetu, tujilinde wenyewe!

Ni kweli mkuu, ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha anajilinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…