BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
ni kweli ukiwatongoza hawakatai
Unamtongoza ili akukatae??
ni kweli ukiwatongoza hawakatai
Siku hizi kumejaa porojo humu...
Uzi Wa Kipuuzi
Unamtongoza ili akukatae??
kama mumekosa maada bora mspost kitu. Yaan ww ungekuwa karibu ningekupa kerb moja matata sana. Unajua hao unaowasema ni wake zetu?? Na mpaka mda huu ninavyoandika hii post yupo kazn night shift?! Unanifanya nisilale sasa.... Acheni upuuz bhana umalaya ni tabia ya mtu. Hata ukimfuatilia mama yako,shangaz yako dada yako au hata mama yako mdogo wote hao wana michepko pemben. Acha kuturusha roho