Wauguzi wanawake hawajatulia!

Wauguzi wanawake hawajatulia!

mhaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
495
Reaction score
261
Nimesikia toka kwa wanaume wengi wakilalamika kuwa wauguzi (nurse) walio wengi hawajatulia hivyo ni sex sellers! Nipe uzoefu wako mwana JF.
 
sex sellers wanauza nini hao????

duh watu wabunifu kila siku biashara mpya
 
alafu ulitaka watulia mgonjwa afe??
watz kwa lawama acha wawashughulikie wagonjwa
 
mi nnavyojua baadhi yao wanapenda sana turushwa tudogotudogo hii ni kutokana na udogo wa mishahara yao, hayo ya kusell sex sijafanya utafiti....
 
Rushwa sawa ila sex seller tusubir wenye taarifa watupe
Wa je Dr wamaume now wanafanya hayo hayo kwa wagonjwa
 
Nimesikia toka kwa wanaume wengi wakilalamika kuwa wauguzi (nurse) walio wengi hawajatulia hivyo ni sex sellers! Nipe uzoefu wako mwana JF.

generalisation at work....
sijui utasema nini ukisikia ya politicians, loan officers, secretaries and the like..
imagine mtu anatoa general comment about an occupation which your mom happens to earn her daily bread..
 
Nimesikia toka kwa wanaume wengi wakilalamika kuwa wauguzi (nurse) walio wengi hawajatulia hivyo ni sex sellers! Nipe uzoefu wako mwana JF.

kama mumekosa maada bora mspost kitu. Yaan ww ungekuwa karibu ningekupa kerb moja matata sana. Unajua hao unaowasema ni wake zetu?? Na mpaka mda huu ninavyoandika hii post yupo kazn night shift?! Unanifanya nisilale sasa.... Acheni upuuz bhana umalaya ni tabia ya mtu. Hata ukimfuatilia mama yako,shangaz yako dada yako au hata mama yako mdogo wote hao wana michepko pemben. Acha kuturusha roho
 
generalisation at work....
sijui utasema nini ukisikia ya politicians, loan officers, secretaries and the like..
imagine mtu anatoa general comment about an occupation which your mom happens to earn her daily bread..

Most of them are said to be not trustful hence try to avoid not to marry them!
 
Siku hizi kumejaa porojo humu...
 
Back
Top Bottom