zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 820
- 541
Naomba kuuliza kwa mwenye kujua kuhusu wauguzi kama nao wanajengo la biashara kama walimu?
Walimu wameonesha njia wanajengo lao "MWALIMU HOUSE" hili jengo lao wamepangisha kampuni mbalimbali ambazo wanalipa kodi nzuri tu.1sq meter ni $15 na wanaanzia 30sq meter kama sikosei. Wanapokea kuanzia miezi 6.
Wauguzi wapi jengo lao?