Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
Habari ndiyo hiyo kama wewe umezaliwa na kukulia TanZania utakuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa na virusi vya Hepatitis B, na hamna kitu utafanya kwani hakuna dawa bali unaweza tu kuhakikisha idadi ya virusi uliyo nayo haiongezeki na pia muhimu klk yote nenda ukapime Ini lako kwani virusi hivi husababisha kansa ya ini ambayo haina tiba!
Hivyo jibu umelipata leo, kesho ukisikia fulani kafa kwa kansa ya Ini ujue ni hepatitis B!
Sasa unachoweza kufanya ni kuhakikisha Mke wako anapewa chanjo ili asimuambikize Mtoto atakayezaliwa!
Hivyo jibu umelipata leo, kesho ukisikia fulani kafa kwa kansa ya Ini ujue ni hepatitis B!
Sasa unachoweza kufanya ni kuhakikisha Mke wako anapewa chanjo ili asimuambikize Mtoto atakayezaliwa!