Hii story inaweza kuwa yakutungwa lakini pia inaweza kuwa niya kweli.... Kwa mtu anayepata nafasi ya kijichanganya na vijana au hata wazee kwenye vijiwe, daladala n.k kukutana na story kama hizi sijambo geni... hao tu wanaoitwa waandishi wa habari, pamoja na shule zao, wanavyo andika habari au kuchambua hoja/mada utatapika, sasa umma wa watanzania hasa wale bendera kufuata upo unategemea waseme nini?....wananchi wengi i wanaufahamu mdogo na mambo ya siasa ni za bongo...... Lakini pia hatuwezi sema huyu jamaa anayemuita Dr. Slaa vuvuzera kuwa hajui kitu, maana wapinzani nao mh....