Watumishi wanacheka tu

Vitalis Msungwite

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Posts
3,318
Reaction score
7,984
Naona mzee anatoa takwimu hapa

Billion........ Zimelipa walimu elfu ........

Billion ....... Zimetumika kama annual increment

Billion 291.3 madai ya mishahara

Billion ......... Malimbikizo ya mishahara

Trillion 1.5 imelipwa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamiii.

Kikotoo chetu hakipo kwingine ni sisi tu na tumeamua kufanya maamuzi magumu kwa upandendo mkuu. Hata nchi zilizoendelea hazitumii kikokotoo kama chetu.



Haya ni mambo muhimu kwa wafanyakazi wa nchi hii.

"Niliahidi kuongeza mshahara kabla sijaondoka ( wakashangiliaaaaaaa) lakini naomba niwaambie sijaondoka bado" watu aghhhh

Nikisema niwaongeze mshahara bidhaa zitapanda.

Sitaki niwapake uji kuwapandishie mishahara, lazima tujenge uchumi imara.

Wafanyakazi wanacheka na wengine wamekunja nyuso.
 
Acha atunyoshe tulizi mno, sungura mdogo sisi tunataka paja la ngamia, eboooo kuajiriwa sio eti wewe ndio mwenye akili sana bali ni mgawanyo wa kazi na hivyo isiwe wewe ule mpaka usaze wengine wafe na njaa kisa ajira umechoka pisha waje wengine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuongeza mishahara si mwarobaini wa matatizo ya wafanya kazi. Nao wawafikirie walipa kodi wengine, kwani ili wao wapate nyongeza, kuna watakao ongezewa kodi. Kuna mafungu yatapunguzwa ktk budget mahala ili wapate hiyo nyongeza. Kupanga ni kuchagua.
 
Sijakuelewa
Kuongeza mishahara si mwarobaini wa matatizo ya wafanya kazi. Nao wawafikirie walipa kodi wengine, kwani ili wao wapate nyongeza, kuna watakao ongezewa kodi. Kuna mafungu yatapunguzwa ktk budget mahala ili wapate hiyo nyongeza. Kupanga ni kuchagua.
 
wafanyakazi muache kuzubaa, msitegemee mishahara tu muanze kufuga, kulima na kufungua biashara zingine, nunueni bodaboda muajir vijana si mnaruhusiwa kukopa? Hii itawasaidia sana mkistaafu mtakua mmeshajua ujasilia mali hamtapata shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…