THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Unajua kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia kwa jicho la uhalisia yanatia simanz na kuamsha hisia za chuki na hasira sana pale yanapotokea.
Takribani wiki zaid ya tatu sasa inaenda mwezi limeibuka suala la tuhuma za kuwepo kwa vyeti fake kwa kiongozi ambae amepewa madaraka makubwa sana ya ukuu wa mkoa katika nchi yetu...
Tuhuma hizo zimeendelea kupigiwa kelele mitandaoni...magazetini...redion. na katika vyombo mbali mbali vya habari kias cha kuzua hali ya sintofaham na taharuki ya hali ya juu sana.
Kitu ambacho kinashangaza ni kwamba serikali inatangaza kuwa katika ajenda ya kusimamia utumish wa umma na kurekebisha nidham na udanganyifu katika sekta hiyo ya utumish wa umma kias cha kuanzisha operation kabambe ya uhakiki wa vyeti na kuwaondoa wale ambao wamethibitika kugushi vyeti mara moja pind pale wanapothibitika na uhalifu huo.
Kinachoshangaza sasa ni kuhusu suala hili la bwana daudi bashite...kigugumiz kipo wapi?kwann msumeno huu unaonekana unakata upande mmoja tuh kulikon?kama ni hivyo basi wale watanzania wenzetu waliofukuzwa huko makazin kwa hoja hii ni vyema wakarudishwa tuh katika utumish wa umma...
Kwa sababu upo ushahid wa kutosha kuwa hata wao walikuwa ni wachapakaz hodari na waaminifu ukiachilia mbali suala la kugushi vyeti
Ifahamike wazi kwamba hakuna mtu anaepinga juhudi mfu za kupambana na dawa za kulevya alizozianzisha daudi bashite...la hasha...kwetu sisi tunaona upo umuhim wa kuhoji iweje kiongoz mkubwa wa ngaz kama hiyo anatuhumiwa kwa kosa chafu kama hilo na yeye mwenyewe amepiga kimya pamoja na serikali kwa ujumla?
Haki iko wapi?na kwann haki haitendeki?
Daudi bashite akae akitambua kuwa hata kama anajaribu kuipotezea hii mada na kujifanya kama vile ni upepo ambao utapita suala hili bado linahitaji majibu...linahitaji majibu ili tupate uhalisia wa haki za wale ambao wamehukumiwa na kufukuzwa kazi kwa kosa kama hilo...
Kuna shida gan kwa yeye kuja hadharani na kuonesha vyeti vyake kama kweli ana uhakika na elimu yake?
Suala hili siyo la upepo hivyo akae akilijua hilo.