Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,079
- 6,911
Habari wana jamii.
Inamhusu insolent Magufuli.
Nauliza tu,mvipi haki ya Annual Increment ambayo ipo kwenye mikataba yetu ya kazi kwanini mtu mmoja amejiamualia kufanya anavyotaka yeye.
Kuhusu kupanda madaraja najua ni maamuzi ya mwajiri lakini kwanini amezuia kwa mwaka mzima wakati aliahidi kuzuia kwa muda wa miezi miwili tu.
Watumishi tumelogwa, vipi kuhusu vyama vyetu kazi yake ni ipi. Mtu mmoja ameamua kupoka haki za watumishi na tumeridhika. Kwasababu anajua ni malofa atajaribu kurudisha mfumo mwaka 2019.
Nashauri tuungane kudai haki zetu.
Cha kushangaza vyombo vya habari vipo kimya kuhusu kuibua uozo wa huyu mtu.
Mwl Unyangala.
Wilaya ya Kinondoni.
Mkoa wa Dar Es Salaam.