Watumishi wa Umma na Rais Wao!

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
TMPDOODLE1507058604330.jpg


Ndivyo wanajaribu Kutafakari kama Hugo hapo Juu jamaa baada ya Kuambiwa Hakuna Nyongeza ya Mshahara. Mungu Tenga Muujiza katika hill!
 
Ya nini kujitesa waache kazi waje kitaa tukomae washenzi sana hawa wanaojiita watumishi wa umma kila siku ni kulia tu kana kwamba wamelazimishwa acheni kazi njooni mlime
 
2020 hamtoamini macho yenu, kuanzia Nape na wengine wote watakuwa wakimtafutia JPM kura na hao wanaolalama muda huu watawahi mapema kabisa kumpigia kura!
 
Back
Top Bottom