Walipwe halafu wafukuzwe na waajiriwe wengine haiwezekani wagome wakati mradi bado mchanga na wao bado hawajaaminiwa kwenye kazi
wewe vipi mshamba nini watu wanalalamika kwasababu hawajalipwa mshahara na hawana contract. hivi wewe unakazi kweli au ulishawahi kuajiriwa?toa malalamiko kwa serikali ya CCM kufanya mambo kiuni.Hivi kwanini nchi hii inapenda migogoro isiyokuwa na sababu.!? watu hata mwaka bado tayari washaanza malalamiko.!
Tuko nyuma jamani tujitambue
Hivi kwanini nchi hii inapenda migogoro isiyokuwa na sababu.!? watu hata mwaka bado tayari washaanza malalamiko.!
Tuko nyuma jamani tujitambue
Wewe ushaambiwa kuwa uchangiaji wako ni wa kiwango cha chini mno kwahivyo sikushangai.. na kama ungesoma vizuri ungejua kuwa nipo upande wa wafanyakazi kuwa kwanini mara ya pili wanalalamika na hawasikilizwi!?wewe vipi mshamba nini watu wanalalamika kwasababu hawajalipwa mshahara na hawana contract. hivi wewe unakazi kweli au ulishawahi kuajiriwa?toa malalamiko kwa serikali ya CCM kufanya mambo kiuni.
swissme
khaa huna Elimu ya juuWewe ushaambiwa kuwa uchangiaji wako ni wa kiwango cha chini mno kwahivyo sikushangai.. na kama ungesoma vizuri ungejua kuwa nipo upande wa wafanyakazi kuwa kwanini mara ya pili wanalalamika na hawasikilizwi!?
Harafu midaladala mibovu bado ipo sambamba na ma bus ya Dart. Lile suala la kupunguza foleni halipo tena kwa wengine. Daladala hazina vituo zikisimama inakuwa shida sana.Huu mrad wa kifisad wa awam iliyopita inaniuma sana yani billion 600 ilitumika yani hiki chama. Kulikuwa na haja gan ya huu mrad nyinyi wez mafedhuli. Bora hata hizo hela zingetumika kuwajengea watanzania makaz bora na nafuu.
TOO SAAADDD