Unataka upate takwimu za idadi ya hao watumishi wanaotumia Jf mkuu!!.MABOTO ENTERPRISES LIMITED
Hii ni taasisi ya kifedha inayokopesha fedha kwa Watumishi wote walio chini ya Mkurugenzi (w) hapa nchini Tanzania. Wana riba nafuu sana na masharti nafuu. Ukikamilisha vigezo pesa yako unapata siku hiyohiyo. Hivyo wahitaji wote wasiliana nao kwa simu na 0786789 700 au 0742271590, wana matawi karibu Tanzania nzima kwa kila Wilaya.
Maboto ent ltd mkopo nafuu na waharaka zaidi.
CRDB na NMB hakuna riba?Tumuachie nani Crdb na nmb? Yaani badala ya kwenda kukopa benki, nije kukopa kwenye taasisi ya fedha! Utakuwa ni utani uliopitiliza aisee! Muendelee tu kuwakamata Wakuja, ila kwa sisi wajanja hamtakuja mtukamate kizembe hivyo.
Ni riba, MURALiba maana yake Nini?
Wana riba nafuu sana na masharti nafuu. Ukikamilisha vigezo pesa yako unapata siku hiyohiyo.MABOTO ENTERPRISES LIMITED
Hii ni taasisi ya kifedha inayokopesha fedha kwa Watumishi wote walio chini ya Mkurugenzi (w) hapa nchini Tanzania. Wana riba nafuu sana na masharti nafuu. Ukikamilisha vigezo pesa yako unapata siku hiyohiyo. Hivyo wahitaji wote wasiliana nao kwa simu na 0786789 700 au 0742271590, wana matawi karibu Tanzania nzima kwa kila Wilaya.
Maboto ent ltd mkopo nafuu na waharaka zaidi.
CRDB na NMB hakuna riba?
Riba yenu ni asilimia 50% .Hiyo ndiyo nafuu?MABOTO ENTERPRISES LIMITED
Hii ni taasisi ya kifedha inayokopesha fedha kwa Watumishi wote walio chini ya Mkurugenzi (w) hapa nchini Tanzania. Wana riba nafuu sana na masharti nafuu. Ukikamilisha vigezo pesa yako unapata siku hiyohiyo. Hivyo wahitaji wote wasiliana nao kwa simu na 0786789 700 au 0742271590, wana matawi karibu Tanzania nzima kwa kila Wilaya.
Maboto ent ltd mkopo nafuu na waharaka zaidi.
Watumishi ni shamba la bibi kila mjanja anawavuna tu, njaa ya watumishi ni fursa tosha.... hata usiku utapokwisha.
MABOTO ENTERPRISES LIMITED